RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na Viongozi wa Serikali na Wazee wa CCM Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Kisiwani Pemba kwa ziara ya Kikazi ya siku mbili Pemba. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla Uwanja wa Ndege wa Kumataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Kisiwani Pemba kwa ziara ya Kikazi ya Siku mbili Pemba.(Picha na Ikulu)