
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwasilisha taarifa juu ya hali ya uchumi na kupanda kwa bei za bidhaa kwa waandishi wa habari sambamba na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (hayupo pichani), Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akitoa taarifa juu ya hali ya uchumi na kupanda kwa bei za bidhaa wakati wa mkutano na waandishi wa habari akiwa na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (hayupo pichani), Jijini Dar es Salaam.

