Mshambuliaji Sadio Mane akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 37 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Burnley leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Turf Moor huo ukiwa ushindi wa 13 mfululizo kwenye ligi hiyo. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Chris Wood aliyejifunga dakika ya 33 akijaribu kuokoa krosi ya Trent Alexander-Arnold na Roberto Firmino dakika ya 80 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
LIVERPOOL MWENDO WA USHINDI EPL YAICHAPA 3-0 BURNLEY
By Alex Sonna
September 1, 2019 | 4:12 am

Related Stories
View all
Michezo
3 hours ago
KITONGA MARATHON KUTANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA UTALII KILOLO
NA DENIS MLOWE, KILOLO WILAYA ya Kilolo mkoani Iringa imeeleza kuwa Kitonga Marathon inayotarajiwa kufanyika Oktoba 31, 2026, itatumika kama jukwaa la kutangaza fursa…
Michezo
3 hours ago
WAANDISHI WA KIMATAIFA WAKOSHWA NA UZURI WA NGORONGORO
Waandishi nguli wa habari za michezo na burudani kutoka sehemu mbalimbali duniani, walioko nchini Tanzania kwa ziara ya kiutalii na kufuatilia maandalizi ya AFCON…
