Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo (mwenye skafu) akiwa pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara Ndugu Samweli Kiboye Nambatatu mara baada ya kupokelewa katika viwanja vya Nyatwali, Bunda mkoani Mara. (Picha na CCM Makao Makuu)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo (mwenye skafu) akiwa pamoja Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme wakiongozana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara Ndugu Samweli Kiboye Nambatatu pamoja na Viongozi wengine wa CCM wa mkoa huo mara baada ya kupokelewa katika viwanja vya Nyatwali, Bunda mkoani Mara. (Picha na CCM Makao Makuu) 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara Ndugu Ally Hapi (kulia) mara baada ya kupokelewa katika viwanja vya Nyatwali, Bunda mkoani Mara. (Picha na CCM Makao Makuu)
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo (katikati) pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara Ndugu Samweli Kiboye Nambatatu (kulia) wakiangalia daftari la orodha ya wanachama wa Shina namba 3, Buhemba, Wilayani Tarime, kushoto ni Mwenyekiti wa Shina hilo Ndugu Ibrahim Hamisi Werema. (Picha na CCM Makao Makuu) 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akipandisha bendera kama ishara ya uzinduzi Shina namba 3, Buhemba, Wilayani Tarime, mkoa wa Mara. (Picha na CCM Makao Makuu) 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Nyasaricho, Tarime mkoani Mara(kushoto) (Picha na CCM Makao Makuu)
