Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi (katikati) na Naibu Meneja Mkuu wa Idara ya Uhandisi toka Kampuni ya Ujenzi ya Ms Group Six International Ltd, Ndg. Yi Xiaobo wakisaini mkataba wa ujenzi wa jengo la Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Magohu Zonzo. Jengo hilo lenye ghorofa sita na vyumba vya ofisi 114 pamoja na kumbi za mikutano linajengwa katika eneo la Kilimani jijini Dodoma na kugharimu takribani shilingi bilioni 20 ambapo mkandarasi ameingia makubaliano ya kumaliza kandarasi hiyo ndani ya mwaka mmoja. (Picha na ORPP)
Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi na Naibu Meneja Mkuu wa Idara ya Uhandisi toka Kampuni ya Ujenzi ya Ms Group Six International Ltd, Ndg. Yi Xiaobo wakipitia mkataba wa ujenzi wa jengo la Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wakati wa kutiliana saini mkataba huo jana jijini Dar es Salaam. Jengo hilo lenye ghorofa sita na vyumba vya ofisi 114 pamoja na kumbi za mikutano linajengwa katika eneo la Kilimani jijini Dodoma na kugharimu takribani shilingi bilioni 20 ambapo mkandarasi ameingia makubaliano ya kumaliza kandarasi hiyo ndani ya mwaka mmoja. (Picha na ORPP)
Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi na Naibu Meneja Mkuu wa Idara ya Uhandisi toka Kampuni ya Ujenzi ya Ms Group Six International Ltd, Ndg. Yi Xiaobo wakikabidhiana mkataba wa ujenzi wa jengo la Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wakati wa kutiliana saini mkataba huo jana jijini Dar es Salaam. Jengo hilo lenye ghorofa sita na vyumba vya ofisi 114 pamoja na kumbi za mikutano linajengwa katika eneo la Kilimani jijini Dodoma na kugharimu takribani shilingi bilioni 20 ambapo mkandarasi ameingia makubaliano ya kumaliza kandarasi hiyo ndani ya mwaka mmoja. (Picha na ORPP)
Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi (katikati) akizungumza mara baada ya kutiliana saini na Naibu Meneja Mkuu wa Idara ya Uhandisi toka Kampuni ya Ujenzi ya Ms Group Six International Ltd, Ndg. Yi Xiaobo wakipitia mkataba wa ujenzi wa jengo la Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wakati wa kutiliana saini mkataba huo jana jijini Dar es Salaam. Jengo hilo lenye ghorofa sita na vyumba vya ofisi 114 pamoja na kumbi za mikutano linajengwa katika eneo la Kilimani jijini Dodoma na kugharimu takribani shilingi bilioni 20 ambapo mkandarasi ameingia makubaliano ya kumaliza kandarasi hiyo ndani ya mwaka mmoja. (Picha na ORPP)
Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi na Naibu Meneja Mkuu wa Idara ya Uhandisi toka Kampuni ya Ujenzi ya Ms Group Six International Ltd, Ndg. Yi Xiaobo pamoja na wawakilishi kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Kampuni ya Ms Group Six International wakiwa wameshika mkataba wa kandarasi ya ujenzi wa jingo la Ofisi ya Msajili mara baada ya kutiliana saini jana jijini Dar es Salaam. Jengo hilo lenye ghorofa sita na vyumba vya ofisi 114 pamoja na kumbi za mikutano linajengwa katika eneo la Kilimani jijini Dodoma na kugharimu takribani shilingi bilioni 20 ambapo mkandarasi ameingia makubaliano ya kumaliza kandarasi hiyo ndani ya mwaka mmoja. (Picha na ORPP)