Mkuu wa Wilaya ya Kibaha ,Sara Msafiri amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani kwa wajumbe wa Halmashauri kuu Wilaya ya Kibaha Mjini kwenye kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kibaha.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo…
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,…