Waziri wa Uchumi wa Buluu na uvivu Mh.Abdalla Hussein Kombo Akitoa taarifa ya mafanikio na utendaji wa Wizara yake, kuelekea maadhimiso ya miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar huko Ukumbi wa Wizara ya Utalii Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Madiwani wa Halmashauri Madiwani Manispaa ya Mpanda na Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi wamesema kwa kushirikiana na Wananchi, watahakikisha wanailinda miundombinu ya…
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Asangye Bangu, amesema Bodi inatarajia kuongeza bidhaa nyingine tano katika Mfumo wa…