Pierre-Emerick Aubameyang akiwanyooshea kidole mashabiki kufurahi nao baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 64 ikiilaza Burnley 2-1 leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Bao la kwanza la Arsenal limefungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 13, wakati la Burnley limefungwa na Ashley Barnes dakika ya 43 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
LACAZETTE,AUBAMEYANG WAING’ARISHA ARSENAL YAICHAPA 2-1 BURNLEY
By Alex Sonna
August 17, 2019 | 5:34 pm

Related Stories
View all
Michezo
10 hours ago
SERIKALI IMESEMA UWANJA WA UHURU UPO TAYARI KWA DERBY
Michezo
2 days ago
KITONGA MARATHON KUTANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA UTALII KILOLO
NA DENIS MLOWE, KILOLO WILAYA ya Kilolo mkoani Iringa imeeleza kuwa Kitonga Marathon inayotarajiwa kufanyika Oktoba 31, 2026, itatumika kama jukwaa la kutangaza fursa…
