Afisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya UTT AMIS, Martha
Mashiku, akitoa mada kwa
Wajumbe wa Christian Social Services Commission wakiwa katika semina iliyolenga kutoa elimu juu ya fursa za uwekezaji ambapo
wanaweza kuwekeza rasilimali fedha zao kwenye mifuko kwa ajili ya
usimamizi wa biashara zao huku hawapotezi thamani ya fedha kutokana na
ukuaji wa fedha hizo kwenye mifuko. Semina hiyo ilifanyika jijini Mwanza Novemba, 19, 2021.


 

Baadhi ya Wajumbe wa Christian Social Services Commission wakiwa katika semina iliyolenga kutoa elimu juu ya fursa za uwekezaji.