RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. akiwahutubia Wananchi wa Jimbo la Kwahani Zanzibar, wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Tawi la CCM Sebleni na Kisiwa cha Maji Safi na Salama Sebleni.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtusha ndoo ya maji Mwananchi wa Sebleni baada ya kukizindua Kisima kipya cha Maji Safi na Salama kwa ajili ya Wananchi wa Sebleni kilichojengwa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MUONEKANO wa jengo jipya la Tawi la CCM Sebleni Jimbo la Kwahani lililojengwa na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo hilo na kufunguliwa leo 18-9-2021 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa .Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi alipowasili katika viwanja vya Tawi la CCM Sebleni, kwa ajili ya kulifungua jengo jipya la Tawi la CCM.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo la Tawi la CCM Sebleni baada ya kulifungua rasmin leo 18-9-2021, akipota maelezo kutoka kwa Katibu wa CCM Jimbo la Kwahani Ndg.Ramadhan Juma (kulia kwa Rais).(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akikata utepe kulifungua Jengo Jipya la Tawi la CCM Sebleni Jimbo la Kwahani na (kushoto kwa Rais) Mbunge wa Jimbo la Kwani Mhe Ahmada Yahya Abdulwakil na (kulia kwa Rais) Katibu wa CCM Jimbo la Kwani Ndg.Ramadhani Juma na Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Kwahani Khamis Yussuf Pele.(Picha na Ikulu)
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Kwahani Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Tawi la CCM Sebleni.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Seti ya TV Kiongozi wa Maskani ya Mohammed Ali Bi.Subira Omar, wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Tawi la CCM Sebleni Jimbo la Kwahani Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Tawi hilo Sebleni.(Picha na Ikulu)