Ili kuongeza wigo wa matumizi ya simujanja, kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC imeungana na kampuni ya Samsung kuzindua simu mpya aina ya Samsung A22, pichani Mkuu wa Mauzo na Usambazaji waVodacom Tanzania PLC George Lugata (Kulia) na Meneja wa Samsung Tanzania Suleiman Mohamed wakionesha simu hiyo wakati wa uzinduzi. Simu hii inakuja na ofa maalum ya dakika za bure, MB na SMS, na inapataikana katika maduka yote ya Vodacom nchini, lakini pia katika maduka ya Samsung.
VODACOM TANZANIA PLC YAUNGANA NA KAMPUNI YA SAMSUNG KUZINDUA SIMU MPYA SAMSUNG A22
By joseph
August 22, 2021 | 5:25 am
Related Stories
View all
Mchanganyiko
1 hour ago
TANZANIA YAFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI VIWANDA VYA BIDHAA TIBA CPHI MILAN 2026
Tanzania inashiriki Kongamano na Maonesho ya Kimataifa ya Viwanda vya Dawa, Vifaa Tiba, Chanjo na Vitendanishi (CPHI) yanayofanyika Milan, Italia, tarehe 6–8 Oktoba 2026.…
Mchanganyiko
2 hours ago
CHAMWINO: KNEC YAFUNGWE NJIA KWA ASASI 10 KUINGIA UWANJANI
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa vibali kwa taasisi na asasi za kiraia 10 kushiriki katika maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge…

