Afisa Habari na Mawasiliano wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) Bw. Beatus Maganja akimkabidhi baadhi ya machapisho ya masuala ya uhifadhi wa wanyamapori Bw. Adam Hussein mwandishi wa habari kutoka kituo cha redio cha Times FM aliyefika kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ajili ya kuhabarisha wananchi kwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 02, 2021.
Hika Shaban Hika Mhifadi wa Nyoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea eneo maalum ambalo wanyamapori wamehifadhiwa kwa maonesho katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 02, 2021.
Kobe huyu dume ana miaka 150 na kwa mujibu wa mhifadhi anasema anaweza kuishi miaka 500 na huyu kobe pia yupo kwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 02, 2021 katika banda la Maliasili.
Baadhi ya wananchi wakiangalia kobe mwenye umri wa miaka 150 wakati walipotembelea katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii nkwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 02, 2021.
Picha mbalimbali zikionesha wananchi wakitembelea katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 02, 2021.
Muonekano wa Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 02, 2021.
Bi. Africo Matogoro Kutoka Idara ya Wanyamapori Wizara ya Maliasili akiwaonesha meno ya Tembo wananchi waliotembelea kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwenye viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 02, 2021.
Simba jike na dume pia wapo katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii ili wananchi waweze kijionea wanyama hao wakati watakapotembelea katika banda la wizara hiyo kwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam viwanja vya Julius Nyerere maarufu Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo Julai 02, 2021.