Baadhi ya Maafisa wa Tume ya Utumishi wa Umma, kutoka kushoto Bw. Clement Pallangyo; Bibi Agness Kapfunsi; Bw. Amas Mahagala; Bibi Florence Kazuva; Bibi Saada Ibrahim; Bw. Robert Lwanji; Bibi Elizabeth Mabula na Bw. Richard Cheyo, katika picha ya pamoja leo, baada ya kuwahudumia Watumishi na wadau waliofika katika Ofisi ya Tume iliyopo Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam, katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2021.
(Picha na Ahmad Michuzi- michuzi blog)
**********