Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mkuyuni na Butimba Kona mara baada ya kusimama wakati akielekea kutembelea na kukagua Daraja la JP Magufuli mkoani Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Buhongwa mkoani Mwanza wakati akiendelea na ziara yake mkoani Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Busisi wakati alipokwenda kukagua Daraja la JP Magufuli mkoani Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2021.
Wamama wa CCM Busisi wilayani Sengerema wakimpungia mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akiondoka eneo hilo mara baada ya kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Mzazi wa (Mjane)Mama Janeth Magufuli, Mama Juliana Stephano Kidaso mara baada ya kuwasili Busisi Mkoani Mwanza katika muendelezo wa ziara yake leo tarehe 14 Juni, 2021. PICHA NA IKULU