Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakishiriki katika Maandamano ya Sherehe za Mei Mosi 2021 zilizofanyika leo katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Yenye kauli Mbiu: Maslahi Bora, Mishahara Juu
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakipita mbele ya jukwaa kuu katika Maandamano ya Sherehe za Mei Mosi 2021 zilizofanyika leo katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Yenye kauli Mbiu: Maslahi Bora, Mishahara Juu
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (hayupo kwenye picha) wakati wa Sherehe za Mei Mosi 2021 zilizofanyika leo katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Yenye kauli Mbiu: Maslahi Bora, Mishahara Juu
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)