**************

NA EMMANUEL MBATILO

‪Kocha wa muda wa timu ya Taifa Stars ameweka wazi  kikosi cha Wachezaji 26 kitakacho jiandaa na mchezo dhidi ya Kenya‬.

‪Stars itapambana na Kenya Julai 28, 2019 na itaingia Kambini Julai 21, 2019‬ kwaajili ya kujianda kwa mechi hiyo.