KATIBU Mkuu Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Ndg. Mussa Haji Ali akimsikiliza aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu. Ndg. Salum Maulid Salum (kulia kwake) wakati wa hafla ya kukabidhiana ya Ofisi yaliofanyika katika Afisi ya Katibu Mkuu Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
KATIBU Mkuu Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Ndg.Mussa Haji Ali (kulia) akikabidhiwa Vitendea Kazi vya Ofisi yake wakati wa makabidhiano ya Ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Ndg. Salum Maulid Salum (kushoto) hafla hiyo imefanyika katika Afisi ya Katibu Mkuu Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
KATIBU Mkuu Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Ndg.Mussa Haji Ali akisaini hati ya makabidhiano ya Ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu Ndg, Salum Maulid Salum (kushoto) makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Katibu Mkuu Ikulu Jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu) KATIBU Mkuu Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Ndg. Mussa Haji Ali akizungumza na Wafanyakazi wa Afisi ya faragha wakati wa hafla ya kukabidhiwa ya Ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Ofisi Rais Ikulu Ndg. Salum Maulid Salum, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Afisi ya Katibu Mkuu Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)