Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata keki kusherehekea Siku yake ya kuzaliwa, kwenye makazi yake Kilimani Jijini Dododoma leo Januari 27,2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Wazaidizi wake katika kusherehekea Siku yake ya kuzaliwa, kwenye makazi yake Kilimani Jijini Dododoma leo Januari 27,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)