
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akipanda mti baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Misegese, wilayani Malinyi, mkoani Morogoro na kuweka jiwe la msingi la shule hiyo leo tarehe 24 Novemba, 2026. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
3T8A5667
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Misegese, wilayani Malinyi, mkoani Morogoro na kuweka jiwe la msingi la shule hiyo leo tarehe 24 Novemba, 2026. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
3T8A5671, 3T8A5679
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi waliojitokeza wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Misegese, wilayani Malinyi, mkoani Morogoro na kuweka jiwe la msingi la shule hiyo leo tarehe 24 Novemba, 2026. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu