Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na Kampuni ya Almaha Travel and Tours Company Limited inapenda kuwatangazia Watanzania wenye sifa stahiki kutuma maombi kwa ajili ya kujaza nafasi 500 zilizotolewa na Kampuni ya Flexitalent Manpower Supply Services L.L.C pamoja na Transguard Group L.L.C za Nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)