Mwanasheria Mkuu wa Serikali *Mhe. Hamza S. Johari* akifuatilia Bunge la 13, Mkutano wa 5 na Kikao cha Pili cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 28 Oktoba, 2026.
Bunge limepokea, kujadili na kushauri kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2027/2028.
Pia Bunge limepokea, kujadili na kushauri kuhusu Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2027/2028.
Vikao vya Bunge la 13 na Mkutano wa 5 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vinaendelea Bungeni Jijini Dodoma.

