Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb).amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Uingereza Mhe. Lindsay Hole.
Kikao hicho kilifanyika leo tarehe 8 Oktoba, 2026 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa( AICC) jijini Arusha.

