Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye mazungumzo na Mheshimiwa Dkt. Speciosa Kazibwe Wandira, Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Uganda, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Septemba, 2026.

RAIS SAMIA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU WA UGANDA
