
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 07, 2026, ameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wananchi katika maziko ya Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Marehemu Hafidh Ameir Hassan amezikwa leo nyumbani kwake Kizimkazi, Zanzibar.
