Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda Jijini Lusaka kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Mhe. Hakainde Hichilema, Rais Mteule wa Jamhuri ya Zambia tarehe 01 Septemba, 2026.