Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye mazungumzo na wanafunzi walionufaika na Ufadhili wa Samia Scholarship Extended katika Sayansi ya Data, Akili Unde na Sayansi Shirikishi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2026. Mhe. Rais Dkt. Samia alizungumza na kuagana na wanafunzi hao ambao wanaoenda masomoni nchini Ireland na Urusi
 Wanafunzi walionufaika na Ufadhili wa Samia Scholarship Extended katika Sayansi ya Data, Akili Unde na Sayansi Shirikishi, Viongozi pamoja Wazazi wakimsikiliza Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2026.
 Matukio mbalimbali katika hafla ya kuagana na wanafunzi walionufaika na Ufadhili wa Samia Scholarship Extended katika Sayansi ya Data, Akili Unde na Sayansi Shirikishi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2026.
 Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kwenye picha na wanafunzi walionufaika na Ufadhili wa Samia Scholarship Extended katika Sayansi ya Data, Akili Unde na Sayansi Shirikishi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2026. Mhe. Rais Dkt. Samia alizungumza na kuagana na wanafunzi hao ambao wanaoenda masomoni nchini Ireland na Urusi