Spika wa Bunge, Mussa Zungu akionesha barua yenye jina la Makamu wa Rais Mteule, Deogratius Ndejembi kwa Wabunge (hawapo pichani), Bungeni jijini Dodoma, Agosti 28, 2026 wakati wa zoezi la kumthibitisha mteule huyo baada ya kependekezwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha hoja ya kuthibitisha uteuzi wa Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni jijini Dodoma, Agosti 28, 2026 wakati wa zoezi la kumthibitisha mteule huyo baada ya kependekezwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akipiga kura ya kuthibitisha uteuzi wa Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni jijini Dodoma, Agosti 28, 2026 wakati wa zoezi la kumthibitisha mteule huyo baada ya kependekezwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Wabunge wakimpongeza Deogratius Ndejembi kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni jijini Dodoma, Agosti 28, 2026. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Makamu wa Rais Mteule Deogratius Ndejembi akizungumza Bungeni jijini Dodoma, Agosti 28, 2026 mara baada ya Bunge kumthibitisha kwa asilimia 100 ya kura zote 324 zilizopigwa na wabunge. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akimpongeza Makamu wa Rais Mteule Deogratius Ndejembi, Bungeni jijini Dodoma, Agosti 28, 2026 mara baada ya Bunge kumthibitisha kwa asilimia 100 ya kura zote 324 zilizopigwa na wabunge. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).