Kumekuwa na taarifa kuhusu madai ya kujiuzulu kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, huku taarifa hizo zikiendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii na vyanzo mbalimbali.
Wananchi wanashauriwa kusubiri taarifa rasmi kutoka katika mamlaka zinazohusika kabla ya kuhitimisha kuhusu suala hilo.
Hata hivyo, Fullshangwe inaendelea kufuatilia taarifa hizo kwa karibu, kwa kuwa hadi sasa mamlaka husika hazijathibitisha rasmi taarifa za kujiuzulu kwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Hivyo, tunaendelea kufuatilia kwa karibu na mara mamlaka zitakapothibitisha taarifa hizo rasmi, tutawaletea taarifa kamili kupitia Fullshangwe.
