Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Bw. Ndiame Diop, tarehe 20 Agosti, 2026, Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Bw. Ndiame Diop, tarehe 20 Agosti, 2026, Ikulu jijini Dar es Salaam.