Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Maonesho ya Sanaa za Picha katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi, Zanzibar 11 Agosti, 2026.

Matukio mbalimbali wakati wa Maonesho ya Sanaa za Picha yaliyofanyika katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi, Zanzibar 11 Agosti, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Maonesho ya Sanaa za Picha katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi, Zanzibar 11 Agosti, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maonesho ya Sanaa za Picha katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi, Zanzibar 11 Agosti, 2026.

