Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwa ajili ya kupokea heshima ya wimbo wa Taifa wa Tanzania baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Accra nchini Ghana, tarehe 21 Julai, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kuhusu Afya.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Accra nchini Ghana, tarehe 21 Julai, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kuhusu Afya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Accra nchini Ghana, tarehe 21 Julai, 2026, kwa ajili ya kushiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kuhusu Afya. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ghana Mhe. Samuel Okudzeto Ablakwa baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Accra nchini Ghana, tarehe 21 Julai, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kuhusu Afya.