Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Makamu wa Rais Mwandamizi wa Kampuni ya Alstom, Philippe Delleur  katika mazungumzo  yaliyofanyika kwenye hotel ya Intercontinental jijini Paris Ufaransa , Julai 8, 2026. Mheshimiwa Mwigulu alikwenda Ufaransa kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye  Kilele cha Maadhimisho ya tano ya Siku ya Kiswahili Duniani . Kampuni hiyo inakusudia kuwekeza kwenye ujenzi wa reli ya kusafirisha abiria jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Jean- Francois na wa pili kushoto ni Julie Morel kutoka Kampuni hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Makamu wa Rais Mwandamizi wa Kampuni ya Alstom, Philippe Delleur  kwenye hotel ya Intercontinental jijini Paris Ufaransa , Julai 8, 2026. Mheshimiwa Mwigulu alikwenda Ufaransa kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye  Kilele cha Maadhimisho ya tano ya Siku ya Kiswahili Duniani . Kampuni hiyo inakusudia kuwekeza kwenye ujenzi wa reli ya kusafirisha abiria jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Alstom, Jean Francois kuhusu michoro iliyopendekezwa ya ujenzi wa reli  ya kusafirisha abiria jijini Dar es salaam katika mazungumzo yaliyofanyika kwenye hoteli ya Intercontinental jijini Paris, Julai 8, 2026. Kampuni hiyo inakusudia kuwekeza kwenye ujenzi wa reli ya kusafirisha abiria jijini Dar es salaam. Kulia ni Julie Morel wa kampuni  hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO 0829 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Makamu wa Rais Mwandamizi wa Kampuni ya Alstom, Philippe Delleur  (kulia)    kwenye hotel ya Intercontinental jijini Paris Ufaransa , Julai 8, 2026. Mheshimiwa Mwigulu alikwenda Ufaransa kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye  Kilele cha Maadhimisho ya tano ya Siku ya Kiswahili Duniani . Kampuni hiyo inakusudia kuwekeza kwenye ujenzi  wa reli ya kusafirisha abiria jijini Dar es salaam. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Jean Francois, Julie Morel na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Saidi  Othman Yakub.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)