Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe akizungumza na wananchi wa Kata ya Kiberege iliyopo Halmashauri ya Mji Ifakara mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika Soko la Kiberege lililojengwa na Serikali, wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma katika halmashauri hiyo ya mji.

Wananchi wa Kata ya Kiberege iliyopo Halmashauri ya Mji Ifakara wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe (hayupo pichani), wakati wa ziara ya kikazi ya ya Waziri huyo ya kukagua miradi ya maendeleo na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma katika halmashauri hiyo ya mji.

Mkuu wa Wilaya ya Ifakara Mhe. Wakili Dunstan Kyoba akitoa taarifa kuhusu ujenzi wa Soko la kiberege kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, wakati wa ziara ya kikazi ya ya Waziri huyo ya kukagua miradi ya maendeleo na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma katika Halmashauri ya Mji Ifakara.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Ifakara mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa majengo katika hospitali hiyo, wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma katika halmashauri ya Mji Ifakara.

 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu –TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe kuzungumza na wananchi wa Kata ya Kiberege iliyopo Halmashauri ya Mji Ifakara mara baada ya Prof. Shemdoe kuweka jiwe la msingi katika Soko la Kiberege, wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma katika Halmashauri ya Mji Ifakara.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu –TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima kabla ya kuzungumza na wananchi wa Kata ya Kiberege iliyopo Halmashauri ya Mji Ifakara, wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma katika Halmashauri ya Mji Ifakara.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe akizungumza na mmoja wa wananchi aliyetembelea Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Ifakara kupata huduma,  ikiwa ni sehemu ya kupata mrejesho wa huduma zitolewazo kwa wananchi, wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma katika Halmashauri Mji Ifalkara.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe akimsikiliza kwa makini mmoja wa wananchi aliyetembelea Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Ifakara kupata huduma,  ikiwa ni sehemu ya kupata mrejesho wa huduma zitolewazo kwa wananchi, wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma katika Halmashauri Mji Ifalkara.

 Mwonekano wa moja ya nyumba zilizojengwa na Halmashauri ya Mji wa Ifakara kwa ajili ya makazi ya Mkuu wa Idara katika Halmashauri hiyo, nyumba hiyo ni moja ya sehemu ya miradi iliyokaguliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo na kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa umma katika halmashauri hiyo ya mji.