Washiriki wa Kilele cha Shindano la Vijana Uchumi Challenge wakimsikiliza mgeni rasmi, Dkt. Mwigulu Nchemba alipozungumza kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam, Julai 5, 2026. Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika tukio ambalo mdhamini mkuu alikuwa ni CRDB Foundation. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemaba akimsikiliza Makamu Mkuu Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukandala alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kilele cha Shindano la ‘VIjana Uchumi Challenge’ kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar eś salaam, Julai 5, 2026. Mdhamini Mkuu wa shindano hilo ni CRDB Foundation. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwaaga baadhi ya viongozi walioshiriki katika Kilele cha Shindano la ‘VIjana Uchumi Challenge’ kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar eś salaam, Julai 5, 2026. Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye tukio hilo ambalo Mdhamini Mkuu ni CRDB Foundation. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipokea kwa kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka kwa naiba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Haasan tuzo aliyotunukiwa Rais ya kutambua mchango wake katika kuwaendeleza vijana nchini. Waziri Mkuu alimwakilisha Rais katika Kilele cha Shindano la ‘VIjana Uchumi Challenge’ kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar eś salaam, Julai 5, 2026. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Sera, Bunge na Uratibu, Profesa Palamagamba Kabudi, wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Vijana Challenge, Joseph Malekela na kulia ni Katibu wa Vijana Challenge Amina Sanga. Mdhamini Mkuu wa shindano hilo ni CRDB Foundation. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)