Nilikuwa nimechoka. Kila mara nikijaribu kuanzisha biashara mpya, mambo hayaendi. Mara ya kwanza nilifungua kibanda cha kuuza chipsi na mayai mjini Morogoro. Nilikuwa na matumaini makubwa sana, lakini ndani ya miezi miwili, nikawa nimekula mtaji. Marafiki walinishauri niwe mvumilivu, nikajaribu tena.

Mara ya pili niliweka duka la kuuza nguo kutoka Kariakoo, lakini hakukuwa na wateja wa kutosha, na ghafla bidhaa zilianza kuharibika. Hasara nyingine ikanikumba. Watu walinicheka, wengine wakasema labda mimi si mtu wa biashara, ni bora nitafute ajira ya kawaida.

Lakini moyo wangu haukukubali. Nilihisi tu kuna jambo linanikwamisha, ila sikujua ni nini hasa.

Mjaribio ya tatu yalikuwa ya kuanzisha biashara ya kuuza mazao ya shambani. Nilinunua viazi kwa wingi kutoka kijijini na kuyaleta mjini kuyauza kwa jumla.. .. SOMA ZAIDI