Kwa miaka kadhaa nilikuwa nikihangaika na uzito uliozidi. Nilijaribu kufunga kula, kufanya mazoezi makali, na hata kutumia mbinu mbalimbali nilizoambiwa na marafiki. Kwa muda niliona mabadiliko kidogo, lakini baada ya wiki chache uzito ulikuwa unarudi tena. Hali hiyo ilianza kunikatisha tamaa.

Nilikuwa nachoka haraka, nguo nyingi hazikunisitiri vizuri tena, na nilianza kupoteza kujiamini nilipokuwa mbele ya watu. Kila nilipojitazama kwenye kioo nilitamani kurudi kwenye mwonekano niliokuwa nao zamani.

Nilihitaji suluhisho ambalo lingedumu.

Nilitumia fedha nyingi kujaribu njia tofauti lakini hakuna iliyonipa matokeo niliyokuwa nikiyatafuta. Kadri muda ulivyopita, nilianza kuamini kwamba labda nisingeweza tena kupunguza uzito. Siku moja rafiki yangu alinieleza kuhusu Kiwanga Doctors….. SOMA ZAIDI