Biashara yangu ilikuwa ikiendelea vizuri kwa miaka kadhaa. Nilikuwa nimejenga jina zuri na kupata wateja wengi wa kudumu. Kila siku nilifungua biashara yangu nikiwa na matumaini kwa sababu nilijua watu walikuwa wanaamini huduma nilizokuwa nikitoa. Lakini mambo yalibadilika ghafla.

Siku moja nilianza kusikia maneno yasiyo ya kawaida kutoka kwa baadhi ya wateja. Wengine walikuwa wakisema wameambiwa huduma zangu si nzuri. Wengine walikuwa wakielezwa kwamba bidhaa nilizokuwa nauza hazikuwa na ubora kama zamani. Kwa kweli nilishangaa.

Tatizo kubwa lilikuwa kwamba taarifa hizo hazikuwa za kweli.

Hata hivyo, zilianza kuenea haraka. Ndani ya wiki chache, idadi ya wateja ilianza kupungua.

Biashara yangu ilianza kupata hasara. Kulikuwa na siku ambazo duka lilikaa karibu tupu kuanzia asubuhi hadi jioni. Nilikuwa nikitazama bidhaa zangu huku nikijiuliza ni nini kilikuwa kimetokea….. SOMA ZAIDI