Siku kaka yangu alipotoweka, maisha ya familia yetu yalibadilika kabisa. Hakukuwa na mtu aliyedhani kwamba angeondoka na kutoweka kwa muda mrefu kiasi hicho. Mwanzoni tuliamini angerudi baada ya siku chache au wiki kadhaa. Lakini siku zikageuka miezi, na miezi ikageuka miaka.

Maumivu yalikuwa makubwa. Kila mara simu ilipopigwa na namba ngeni, mioyo yetu ilijaa matumaini. Kila tuliposikia habari za mtu aliyepatikana baada ya kupotea, tulijiambia huenda safari hii angekuwa kaka yetu. Lakini miaka iliendelea kupita bila habari zake.

Familia yetu ilifanya kila ilichoweza….. SOMA ZAIDI