Siku nilipopewa taarifa ya kuachishwa kazi, nilihisi dunia yangu imeporomoka. Nilikuwa nimetegemea kazi ile kwa miaka mingi. Ilikuwa ndiyo chanzo cha mapato yangu na njia yangu ya kuhudumia familia yangu.

Kwa hiyo nilipopoteza kazi ghafla, sikujua ningeanzia wapi. Mwanzoni nilikuwa na matumaini. Niliamini ningepata kazi nyingine haraka. Nilituma maombi sehemu nyingi, nikahudhuria mahojiano kadhaa, na nikajitahidi kutumia kila fursa iliyokuwa ikijitokeza .SOMA.ZAIDI