Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo kila simu iliyonipigia ilinifanya niwe na wasiwasi. Sababu ilikuwa moja tu madeni. Mwanzoni nilikopa kwa sababu nilihitaji kuendesha biashara yangu.

Nilikuwa na matumaini kwamba mambo yangekaa sawa baada ya muda na ningeweza kulipa kila kitu bila shida. Lakini hali haikuwa rahisi kama nilivyotarajia. Biashara ilianza kuyumba.

Mapato yalipungua huku gharama zikiongezeka. Ili kuendelea kuendesha shughuli zangu, nilijikuta nikikopa tena. Baadaye nikakopa sehemu nyingine ili kufidia deni la awali….SOMA ZAIDI