Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Baraka Luvanda akikabidhiwa mitambo mitambo mitatu ya utambuzi wa kemikali zinazotumika kwenye viyoyozi na majokofu kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo ya Viwanda la Umoja wa Mataifa (UNIDO) Bi. Lorence Ansermet katika hafla iliyofanyika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam Mei 28, 2026.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Baraka Luvanda akikabidhi mitambo mitambo mitatu ya utambuzi wa kemikali zinazotumika kwenye viyoyozi na majokofu kwa Mkufunzi kutoka Chuo cha Mafunzo ya Amali cha Mkokotoni Zanzibar Bw. Haji Khamis Haji iliyotolewa na Shirika la Maendeleo ya Viwanda la Umoja wa Mataifa (UNIDO) Bi. Lorence Ansermet katika hafla iliyofanyika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam Mei 28, 2026.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Baraka Luvanda (kulia) na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo ya Viwanda la Umoja wa Mataifa (UNIDO) Bi. Lorence Ansermet wakimsikiliza Mkufunzi kutoka Wakala wa Mafunzo ya Elimu ya Uvuvi Bagamoyo (FETA) Mhandisi Goodluck Lulagora wakati akitoa maelezo kuhusu namba mitambo utambuzi wa kemikali zinazotumika kwenye viyoyozi na majokofu inavyofanya kazi wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam Mei 28, 2026.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Baraka Luvanda (kulia) akzungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo ya Viwanda la Umoja wa Mataifa (UNIDO) Bi. Lorence Ansermet katika hafla ya makabidhiano ya mitambo mitambo mitatu ya utambuzi wa kemikali zinazotumika kwenye viyoyozi na majokofu iliyofanyika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam Mei 28, 2026.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Baraka Luvanda (wa tatu kushoto) na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo ya Viwanda la Umoja wa Mataifa (UNIDO) Bi. Lorence Ansermet kwakiwa katika picha ya pamoja na wataalamu kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na wakufunzi kutoka vyuo wakufaika wa mitambo mitambo mitatu ya utambuzi wa kemikali zinazotumika kwenye viyoyozi na majokofu baada ya hafla ya mabadhiano iliyofanyika katika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam Mei 28, 2026.