Hakuna maumivu makubwa kama kumuona mtoto wako akiwa mgonjwa mara kwa mara bila kuelewa nini hasa kinaendelea. Mtoto wangu alikuwa mchangamfu sana alipokuwa mdogo. Alipenda kucheza, kucheka, na alikuwa akileta furaha kubwa nyumbani.

Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika kwa namna ambayo ilinifanya niishi kwa hofu kila siku. Mwanzoni nilidhani ni ugonjwa wa kawaida. Alianza kupata homa za mara kwa mara. Wakati mwingine alikuwa sawa kwa siku chache, halafu ghafla anarudi kuwa mgonjwa tena….. SOMA ZAIDI