PICHA B1-B0001
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ngurdoto Mkoani Arusha kufungua Mkutano Mkuu wa 13 wa Kitaaluma wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania (TAPSEA) leo tarehe 21 Mei 2026.
PICHA B2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Mwenyekiti wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania (TAPSEA) Bi. Zuhura Maganga wakati alipowasili katika Ukumbi wa Ngurdoto Mkoani Arusha kufungua Mkutano Mkuu wa 13 wa Kitaaluma wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania (TAPSEA) leo tarehe 21 Mei 2026.
PICHA B3-B03
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa na Viongozi mbalimbali wakishiriki Mkutano wa 13 wa Kitaaluma wa Waandishi wa Waendesha Ofisi Tanzania (TAPSEA) unaofanyika katika Ukumbi wa Ngurdoto Mkoani Arusha. Tarehe 21 Mei 2026.
PICHA B4-B04
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akipokea tuzo iliyotolewa na Chama cha Waandishi wa Waendesha Ofisi Tanzania (TAPSEA) kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Mkutano Mkuu wa 13 wa Kitaaluma wa Chama hicho unaofanyika katika Ukumbi wa Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 21 Mei 2026. Anayekabidhi ni Mwenyekiti wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania (TAPSEA) Bi. Zuhura Maganga
PICHA B5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akikabidhiwa tuzo tuzo iliyotolewa na Chama cha Waandishi wa Waendesha Ofisi Tanzania (TAPSEA) wakati wa Mkutano wa 13 wa Kitaaluma wa Chama hicho unaofanyika katika Ukumbi wa Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 21 Mei 2026. Wanaokabidhi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dkt. Haroun Ali Suleiman pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete.
PICHA B6-B00006
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 13 wa Kitaaluma wa Waandishi wa Waendesha Ofisi Tanzania (TAPSEA) unaofanyika katika Ukumbi wa Ngurdoto Mkoani Arusha. Tarehe 21 Mei 2026.
PICHA B7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa Chama cha Waandishi wa Waendesha Ofisi Tanzania (TAPSEA) mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa 13 wa Kitaaluma wa Chama hicho unaofanyika katika Ukumbi wa Ngurdoto Mkoani Arusha. Tarehe 21 Mei 2026.
PICHA B8
Waandishi wa Waendesha Ofisi Tanzania wakiimba wimbo pamoja na Kwaya ya Utumishi wa Umma wakati wa Mkutano Mkuu wa 13 wa Kitaaluma wa Chama hicho unaofanyika katika Ukumbi wa Ngurdoto Mkoani Arusha. Tarehe 21 Mei 2026.
PICHA B9
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiondoka katika Ukumbi wa Ngurdoto mara baada ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 13 wa Kitaaluma wa Waandishi wa Waendesha Ofisi Tanzania (TAPSEA). Tarehe 21 Mei 2026.