Viongozi mbalimbali wa Wizara ya Ulinzi wakiongozwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) walipokuwa wakiwasili Bungeni jijini Dodoma, ambapo leo Mei 19, 2026, makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 yatawasilishwa.
Wengine picha ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo Mhe. Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe,
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda pamoja na viongozi wengine waandamizi.
