📍Bungeni Dodoma.
Â
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepitisha kwa kishindo Bajeti ya wizara ya Elimu kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Bajeti hiyo imepitishwa Mei 8,2026 bungeni mara baada ya Wabunge kupata nafasi ya kuchangia kwa siku mbili Mei 7-8.
Awali akijibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa na WabungeWaziri wa Wizara hiyo,Prof Adolf Mkenda amewashukuru Wabunge kwa michango yao huku akimshukuru Rais Samia kwa kutoa fedha katika miradi mbalimbali ya Wizara hiyo.

