Kwa muda mrefu nilikuwa nikipoteza vitu nyumbani bila kuelewa kinachoendelea. Mara simu inapotea, mara pesa zinapungua, mara vifaa vidogo vidogo vinatoweka bila dalili yoyote. Nilianza kuhisi kuna mtu anayehusika, lakini sikuwahi kupata ushahidi wa moja kwa moja.

Nilijaribu kuchukua tahadhari kufunga milango vizuri, kuangalia kila kitu kabla ya kulala, lakini bado upotevu uliendelea kwa njia ya kushangaza. Ilifika hatua nikaanza kuishi kwa wasiwasi kila siku. Usiku mmoja, niliporudi nyumbani mapema kuliko kawaida, nilihisi hali ya ajabu. Kulikuwa na ukimya usio wa kawaida….. SOMA ZAIDI