Matukio katika picha; Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi waliojumuika wa Dua maalum ya kumuombea aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati Abeid Amani Karume ikiwa ni miaka 54 tangu kuuawa kwake. Dua hiyo maalum imefanyika Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kisiwandui, Zanzibar tarehe 7 Aprili, 2026.

HABARI PICHA: VIONGOZI NA WANANCHI WASHIRIKI DUA YA KUMUOMBEA HAYATI KARUME
