Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Suleiman Masoud Makame akisalimiana na Wazee na Wananchi mara alipowasili katika Hafla ya kumuombea Dua aliekua Rais wa Awamu ya Nne Sheikh Idriss Abdulwakil.Ikiwa ni katika Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa ,Waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa Kwanza wa Chama Cha Afro Shirazi pamoja na Siku ya Kumbukumbu ya Marehemu Sheih Abeid Amani Karume.Hafla iliofanyika Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.

Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Suleiman Masoud Makame akiwa na Wanafamilia na Viongozi wengine wakisoma Dua ya Khitma kumuombea aliekua Rais wa Awamu ya Nne Sheikh Idriss Abdulwakil.Ikiwa ni katika Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa ,Waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa Kwanza wa Chama Cha Afro Shirazi pamoja na Siku ya Kumbukumbu ya Marehemu Sheih Abeid Amani Karume.Hafla iliofanyika Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.

Baadhi ya Wanafunzi wa Madrasa pamoja na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Kisomo cha Dua ya Khitma kumuombea aliekua Rais wa Awamu ya Nne Sheikh Idriss Abdulwakil.Ikiwa ni katika Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa ,Waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa Kwanza wa Chama Cha Afro Shirazi pamoja na Siku ya Kumbukumbu ya Marehemu Sheih Abeid Amani Karume.Hafla iliofanyika Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.

Baadhi ya Wanafunzi wa Madrasa pamoja na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Kisomo cha Dua ya Khitma kumuombea aliekua Rais wa Awamu ya Nne Sheikh Idriss Abdulwakil.Ikiwa ni katika Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa ,Waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa Kwanza wa Chama Cha Afro Shirazi pamoja na Siku ya Kumbukumbu ya Marehemu Sheih Abeid Amani Karume.Hafla iliofanyika Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.

Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Suleiman Masoud Makame (watatu kushoto) akiwa pamoja na Mashekh na Wanafamilia na Wananchi mbalimbali wakiomba Dua katika Kaburi la aliekua Rais wa Awamu ya Nne Sheikh Idriss Abdulwakil.Ikiwa ni katika Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa ,Waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa Kwanza wa Chama Cha Afro Shirazi pamoja na Siku ya Kumbukumbu ya Marehemu Sheih Abeid Amani Karume.Hafla iliofanyika Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.

Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Suleiman Masoud Makame(watatu kushoto) akitoa salamu za Serikali baada ya kuomba Dua katika Kaburi la aliekua Rais wa Awamu ya Nne Sheikh Idriss Abdulwakil, ikiwa ni katika Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa ,Waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa Kwanza wa Chama Cha Afro Shirazi pamoja na Siku ya Kumbukumbu ya Marehemu Sheih Abeid Amani Karume.Hafla iliofanyika Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.

Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Suleiman Masoud Makame(watatu kushoto) akimkabidhi Sadaka iliotolewa na Serikali Kiongozi wa Familia Yahya Idriss Abdulwakil mara  baada ya kuomba Dua katika Kaburi la aliekua Rais wa Awamu ya Nne Sheikh Idriss Abdulwakil.Ikiwa ni katika Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa ,Waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa Kwanza wa Chama Cha Afro Shirazi pamoja na Siku ya Kumbukumbu ya Marehemu Sheih Abeid Amani Karume.Hafla iliofanyika Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.

Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Suleiman Masoud Makame(Katikati)akiwa pamoja na Mashekh na Wanafamilia na Wananchi mbalimbali wakiomba Dua katika Kaburi la aliekua Rais wa Awamu ya Nne Sheikh Idriss Abdulwakil.Ikiwa ni katika Maadhimisho ya Wiki ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa ,Waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa Kwanza wa Chama Cha Afro Shirazi pamoja na Siku ya Kumbukumbu ya Marehemu Sheih Abeid Amani Karume.Hafla iliofanyika Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja. PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR)

……………

Na Rahma Khamis Maelezo, Zanzibar

Waziri wa Kilimo, Maliasili, Umwagiliaji na Mifugo Mhe Suleiman MasuodMakame ameitaka familia ya Marehemu Idriss Abdulwakil kujenga paa katika kaburi hilo ili kuondosha usumbufu wakati wa kusomwa dua.

Wito huo ameutoa huko Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja katika hafla ya kumuombea dua aliyekua Rais wa Zanzibar wa Awamu ya nne Marehemu Sheikh Idriss Abdulwakil ikiwa ni muendelezo wa maadhimisho ya wiki ya kuwawenzi Viongozi wa kitaifa na Waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar.

Amesema kuwa iwapo litaekewa paa kaburi hilo litasaidia kufanya shughuli mbali mbali bila ya usumbusu ikiwemo kuomba dua katika wakati wowote pamoja na kupata usalama.

Aidha ameishukuru Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuweka utaratibu wa dua kwa lengo la kiwaenzi na kuwakumbuka viongozi hao kwa kazi kubwa waliyoifanya.

“Hatuna budi kurejeaha shukurani zetu kwao kwa kutufanya tuishi kwa amani bila ya wasiwasi wowote” alisema Waziri.

Akitoa neno la shukurani mtoto wa Marehemu Yahya Idriss Abdulwakil ameishukuru Serikali kwa utaratibu uliyoanzishwa kwani unawakumbusha vizazi kuwaombea dua wazwe na kuiomba Serikali kuendelea na utaratibu Jo ambao unawajenga vijana katika mustakabaliwema wa kuiomba dua.

Maadhimisho ya wiki ya kuwaenzi viongozi wa Kitaifa, Waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu wa kwanza wa Chama cha Afro Shirazi ambapo kilele kitafanyika Aprili 7, 2026 Kisiwandui Wilaya ya Mjini.