Fullshangwe Blog, Chini ya Mkurugenzi Mkuu, Bw. John Bukuku, inawatakia heri ya Sikukuu ya Eid el-Fitri Watanzania, Waislamu wote Duniani pamoja na wadau wetu wote.
Tunawakumbusha kuendeleza yale mema tuliyoyajenga katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani—ikiwemo moyo wa upendo, kusaidiana, huruma na mshikamano—ili kuendelea kujenga jamii yenye maadili na umoja.
