Maisha yanaweza kukubadilisha mpaka ukajisahau kama uliwahi kukaa darasani na kuvaa joho la mahafali. Naitwa Juma, mkazi wa Sakina, jijini Arusha. Licha ya kuwa na Shahada ya Usimamizi wa Biashara (BBA), nilijikuta nikisota mtaani kwa miaka sita bila mafanikio yoyote.

Hali ilikuwa mbaya kiasi kwamba nilianza kupiga debe stendi ya mabasi ili tu nipate pesa ya kula na kulipa kodi ya chumba kimoja nilichokuwa naishi.

Kila nikiangalia umri wangu ukisogea kuelekea miaka 35, moyo ulikuwa unanipasuka. Nilikuwa na mchumba ambaye tuliahidiana kuoana, lakini aliniacha na kuolewa na mtu mwingine mwenye uwezo kwa sababu mimi nilionekana sina mbele wala nyuma…… SOMA. ZAIDI Ô